Kutoka 40:6
“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.
Cross References
Exodus 27:1“Jenga madhabahu ya mbao za mti wa mshita, kimo chake kiwe dhiraa tatu; + 27:1 Dhiraa 3 ni sawa na mita 1.35. itakuwa mraba, urefu wake dhiraa tano, + 27:1 Dhiraa 5 ni sawa na mita 2.25. na upana wake dhiraa tano.
Exodus 40:29Mose akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Bwana alivyomwagiza.
Ephesians 1:6Kwa hiyo tunamsifu Mungu kwa huruma zake kuu alizotumiminia sisi katika Mwanawe Mpendwa.
1 John 2:2Yeye ndiye dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu, wala si kwa ajili ya dhambi zetu tu, bali pia kwa ajili ya dhambi za ulimwengu wote.