Exodus 40:8
Fanyiza ua kuzunguka maskani na uweke pazia penye ingilio la ua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt set up the court round about, and hang up the hanging at the court gate.
In Context
7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.
Cross References
Exodus 38:9Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, + 38:9 Dhiraa 100 ni sawa na mita 45. na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,
Matthew 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda.
Ephesians 4:11Ndiye aliweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na walimu,