Mathayo 16:18
Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya Kuzimu hayataweza kulishinda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 18:4Mfalme akajibu, “Nitafanya lolote linaloonekana jema zaidi kwenu.” Kwa hiyo mfalme akasimama kando ya lango wakati watu wote wakitoka nje kwa makundi ya mamia na maelfu.
Psalms 9:13Ee Bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! 2 Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti, 1
Psalms 107:18Wakachukia kabisa vyakula vyote, 2 wakakaribia malango ya mauti. 1
Psalms 127:5Heri mtu ambaye podo lake 2 limejazwa nao. 1 Hawataaibishwa wanaposhindana 2 na adui zao langoni.
Isaiah 28:6Atakuwa roho ya haki 2 kwa yeye aketiye katika kiti cha hukumu, 1 chanzo cha nguvu 2 kwa wale wazuiao vita langoni. 1
Isaiah 38:10Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, 2 je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, + 38:10 Mauti hapa maana yake ni Kuzimu. 2 na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” 1