Exodus 6:9
Mose akawaarifu Waisraeli jambo hili, lakini hawakumsikiliza kwa sababu ya maumivu makuu ya moyoni na utumwa wa kikatili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Ndipo Bwana akamwambia Mose,
Cross References
Exodus 14:12Hatukukuambia tulipokuwa huko Misri, tuache tuwatumikie Wamisri? Ingekuwa vyema zaidi kwetu kuwatumikia Wamisri kuliko kufa jangwani!”
Job 21:4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? 2 Kwa nini nisikose subira? 1
Proverbs 18:14Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa 2 bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? 1