Proverbs 18:14
Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa 2 bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The spirit of a man will sustain his infirmity; but a wounded spirit who can bear?
In Context
13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, 2 huo ni upumbavu wake na aibu yake. 1
15Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, 2 masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. 1
Cross References
Job 1:20Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu
Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1
Job 10:15Kama nina hatia, ole wangu! 2 Hata kama ningekuwa sina hatia, 2 siwezi kukiinua kichwa changu, 1 kwa kuwa nimejawa na aibu, 2 na kuzama katika mateso yangu. 1
Psalms 32:3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa 2 kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa. 1
Psalms 42:10Mifupa yangu inateseka kwa maumivu makali 2 adui zangu wanaponidhihaki, 1 wakiniambia mchana kutwa, 2 “Yuko wapi Mungu wako?” 1
Psalms 55:5Woga na kutetemeka vimenizunguka, 2 hofu kuu imenigharikisha. 1