Exodus 7:14
Kisha Bwana akamwambia Mose, “Moyo wa Farao ni mgumu, anakataa kuwaachia watu kuondoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD said unto Moses, Pharaoh’s heart is hardened, he refuseth to let the people go.
In Context
Cross References
Exodus 4:23nami nilikuambia, “Ruhusu mwanangu aondoke, ili aweze kuniabudu mimi.” Lakini ukakataa kumruhusu kwenda, basi nitaua mwana wako mzaliwa wa kwanza.’ ”
Exodus 8:11Vyura wataondoka kwako na katika nyumba zako, kwa maafisa wako na kwa watu wako, ila watabakia katika Mto Naili tu.”
Exodus 9:2Kama ukikataa kuwaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia,
Exodus 9:34Farao alipoona kwamba mvua ya mawe na ngurumo zimekoma, akafanya dhambi tena. Yeye na maafisa wake wakafanya mioyo yao kuwa migumu.
Exodus 10:4Kama ukikataa kuwaachia waende, kesho nitaleta nzige katika nchi yako.
Exodus 10:27Lakini Bwana akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, hakuwa radhi kuwaachia waondoke.