The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 8 › Exodus 8:6

Exodus 8:6

Ndipo Aroni akaunyoosha mkono wake juu ya maji ya Misri, nao vyura wakatokea na kuifunika nchi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Aaron stretched out his hand over the waters of Egypt; and the frogs came up, and covered the land of Egypt.

In Context

5Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Mwambie Aroni, ‘Nyoosha mkono wako ukiwa na ile fimbo yako juu ya vijito, mifereji na madimbwi, fanya vyura waje juu ya nchi ya Misri.’ ”

7Lakini waganga wakafanya vivyo hivyo kwa siri ya uganga wao, nao pia wakafanya vyura kuja juu ya nchi ya Misri.

Read all of Exodus 8

Cross References

Exodus 9:29Mose akamjibu, “Nitakapokuwa nimetoka nje ya mji, nitanyoosha mikono yangu juu kumwomba Bwana. Ngurumo zitakoma na hapatakuwepo mvua ya mawe tena, ili upate kujua kuwa, nchi ni mali ya Bwana.

Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1

Deuteronomy 4:35Mlionyeshwa mambo haya ili mpate kujua kuwa Bwana ndiye Mungu; hakuna mwingine ila yeye.

Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1

2 Chronicles 6:14Akasema: “Ee Bwana, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe juu mbinguni wala chini duniani, wewe unayetunza Agano lako la upendo na watumishi wanaodumu katika njia yako kwa moyo wote.

Psalms 86:8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, 2 hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 8:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 8:5Exodus 8Exodus 8:7 →