Exodus 8:5
Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Mwambie Aroni, ‘Nyoosha mkono wako ukiwa na ile fimbo yako juu ya vijito, mifereji na madimbwi, fanya vyura waje juu ya nchi ya Misri.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”
6Ndipo Aroni akaunyoosha mkono wake juu ya maji ya Misri, nao vyura wakatokea na kuifunika nchi.
Cross References
Isaiah 19:10Wafanyao kazi ya kufuma nguo watahuzunishwa, 2 nao vibarua wataugua moyoni. 1