bible.software › Kutoka › Kutoka 9 › Kutoka 9:19
Kutoka 9:19
Sasa toa amri urudishe wanyama wote watoke malishoni na chochote ambacho kipo mashambani waje mpaka mahali pa usalama, kwa sababu mvua ya mawe itanyesha juu ya kila mtu na kila mnyama ambaye hajaletwa ndani ambao bado wako nje mashambani, nao watakufa.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Send therefore now, and gather thy cattle, and all that thou hast in the field; for upon every man and beast which shall be found in the field, and shall not be brought home, the hail shall come down upon them, and they shall die.
In Context
18Kwa hiyo, kesho wakati kama huu nitaleta mvua mbaya sana ya mawe ambayo haijapata kunyesha katika nchi ya Misri, tangu siku ilipoumbwa mpaka leo.
20Wale maafisa wa Farao ambao waliliogopa neno la Bwana wakafanya haraka kuwaleta watumwa wao na mifugo yao ndani.
Read all of Kutoka 9
Cross References
Habakkuk 3:2Bwana, nimezisikia sifa zako; 2 nami naogopa kwa matendo yako, Ee Bwana. 1 Fufua kazi yako katikati ya miaka, 2 katikati ya miaka tangaza habari yako; 2 katika ghadhabu kumbuka rehema. 1
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 9:19