Exodus 9:20
Wale maafisa wa Farao ambao waliliogopa neno la Bwana wakafanya haraka kuwaleta watumwa wao na mifugo yao ndani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Lakini wale waliopuuza neno la Bwana wakawaacha watumwa wao na mifugo yao shambani.
Cross References
Proverbs 13:13Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi, 2 bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo. 1
Proverbs 22:3Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele kama kipofu nayo ikamtesa. 1
Jonah 3:5Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu, wakatangaza kufunga, watu wote kuanzia mkubwa sana hadi yule mdogo kabisa, wakavaa nguo za gunia.
Hebrews 11:7Kwa imani, Noa alipoonywa na Mungu kuhusu mambo ambayo hayajaonekana bado, kwa kumcha Mungu alitengeneza safina ili kuokoa jamaa yake. Kwa imani yake aliuhukumu ulimwengu na akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani. 1 Imani Ya Abrahamu