The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 12 › Ezekieli 12:13

Ezekieli 12:13

Nitatandaza wavu wangu kwa ajili yake, naye atanaswa kwenye mtego wangu, nitamleta mpaka Babeli, nchi ya Wakaldayo, lakini hataiona, naye atafia huko.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My net also will I spread upon him, and he shall be taken in my snare: and I will bring him to Babylon to the land of the Chaldeans; yet shall he not see it, though he shall die there.

In Context

12“Naye mkuu aliye miongoni mwao atabeba mizigo yake begani mwake kwenye giza la jioni na kuondoka na tundu litatobolewa ukutani kwa ajili yake ili kupitia hapo. Atafunika uso wake ili kwamba asiweze kuiona nchi.

14Wote wanaomzunguka nitawatawanya pande zote, watumishi wake na majeshi yake yote, nami nitawafuatilia kwa upanga uliofutwa.

Read all of Ezekieli 12

Cross References

Job 18:10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; 2 mtego uko kwenye njia yake. 1

Psalms 11:6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1

Jeremiah 34:3Hutaweza kuepuka mkono wake, bali hakika utatekwa na kukabidhiwa kwake. Utamwona mfalme wa Babeli kwa macho yako mwenyewe, naye atazungumza nawe ana kwa ana. Nawe utakwenda Babeli.

Jeremiah 50:24Nimetega mtego kwa ajili yako, ee Babeli, 2 nawe ukakamatwa kabla haujafahamu; 1 ulipatikana na ukakamatwa 2 kwa sababu ulimpinga Bwana. 1

Jeremiah 52:11Kisha akayangʼoa macho ya Sedekia, akamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli, alipomweka gerezani mpaka siku ya kifo chake.

Lamentations 3:47Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, 2 uharibifu na maangamizi.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 12:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 12:12Ezekieli 12Ezekieli 12:14 →