Ayubu 18:10
Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; 2 mtego uko kwenye njia yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The snare is laid for him in the ground, and a trap for him in the way.
In Context
9Tanzi litamkamata kwenye kisigino; 2 mtego utamshikilia kwa nguvu. 1
11Vitisho vimemtia hofu kila upande, 2 na adui zake humwandama kila hatua. 1
Cross References
Ezekiel 12:13Nitatandaza wavu wangu kwa ajili yake, naye atanaswa kwenye mtego wangu, nitamleta mpaka Babeli, nchi ya Wakaldayo, lakini hataiona, naye atafia huko.