The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 4 › Maombolezo 4:11

Maombolezo 4:11

Bwana ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake; 2 ameimwaga hasira yake kali. 1 Amewasha moto katika Sayuni 2 ambao umeteketeza misingi yake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD hath accomplished his fury; he hath poured out his fierce anger, and hath kindled a fire in Zion, and it hath devoured the foundations thereof.

In Context

10Kwa mikono yao wenyewe wanawake wenye huruma 2 wanapika watoto wao wenyewe, 1 waliokuwa chakula chao 2 watu wangu walipoangamizwa. 1

12Wafalme wa dunia hawakuamini, 2 wala mtu yeyote wa duniani, 1 kwamba adui na watesi wangeweza kuingia 2 kwenye malango ya Yerusalemu. 1

Read all of Maombolezo 4

Cross References

Leviticus 26:28ndipo katika hasira yangu nitaweka uadui nanyi, nami mwenyewe nitawaadhibu mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.

Isaiah 51:20Wana wako wamezimia, 2 wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, 2 kama swala aliyenaswa kwenye wavu. 1 Wamejazwa na ghadhabu ya Bwana 2 na makaripio ya Mungu wako. 1

Jeremiah 7:20“ ‘Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenyezi: Hasira yangu na ghadhabu yangu itamwagwa mahali hapa, juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na juu ya matunda ya ardhini, nayo itaungua pasipo kuzimwa.

Jeremiah 13:14Nitawagonganisha kila mmoja na mwenzake, baba na wana wao, asema Bwana. Sitawarehemu wala kuwahurumia ili niache kuwaangamiza.’ ” 1 Tishio La Kutekwa 1

Jeremiah 15:1Kisha Bwana akaniambia: “Hata kama Mose na Samweli wangesimama mbele zangu, moyo wangu usingewaelekea watu hawa. Waondoe mbele za macho yangu! Waache waende!

Jeremiah 19:3nawe useme, ‘Sikieni neno la Bwana, enyi wafalme wa Yuda na watu wa Yerusalemu. Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Sikilizeni! Nitaleta maafa mahali hapa, ambayo yatafanya masikio ya kila mmoja atakayesikia habari zake yawashe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 4:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 4:10Maombolezo 4Maombolezo 4:12 →