Ezekieli 21:20
Weka alama njia moja kwa ajili ya upanga upate kuja dhidi ya Raba ya Waamoni na nyingine upate kuja dhidi ya Yuda na Yerusalemu iliyozungushiwa ngome.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 5:9Ndipo Daudi akafanya makao ndani ya ngome na kuiita Mji wa Daudi. Akajenga eneo linalozunguka kuanzia Milo + 5:9 Milo maana yake Boma la Ngome. kuelekea ndani.
2 Chronicles 26:9Uzia akajenga minara huko Yerusalemu katika Lango la Pembeni, katika Lango la Bondeni na katika pembe, mahali kuta zikutanapo, kisha akaijengea ngome.
2 Chronicles 33:14Baadaye akajenga ukuta wa nje wa Mji wa Daudi, magharibi mwa chemchemi ya Gihoni katika bonde, hadi kufikia ingilio la Lango la Samaki na akakizunguka kilima cha Ofeli, pia akaufanya kuwa mrefu zaidi. Akawaweka majemadari katika miji yote ya Yuda iliyokuwa imejengewa ngome.
Psalms 125:1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, 2 ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 1
Jeremiah 49:2Lakini siku zinakuja,” 2 asema Bwana, 1 “nitakapopiga kelele ya vita 2 dhidi ya Raba mji wa Waamoni; 1 utakuwa kilima cha magofu, 2 navyo vijiji vinavyouzunguka 2 vitateketezwa kwa moto. 1 Kisha Israeli atawafukuza 2 wale waliomfukuza,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 25:5Nitaufanya mji wa Raba kuwa malisho ya ngamia na Amoni kuwa mahali pa kondoo pa kupumzikia. Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.