Yeremia 49:2
Lakini siku zinakuja,” 2 asema Bwana, 1 “nitakapopiga kelele ya vita 2 dhidi ya Raba mji wa Waamoni; 1 utakuwa kilima cha magofu, 2 navyo vijiji vinavyouzunguka 2 vitateketezwa kwa moto. 1 Kisha Israeli atawafukuza 2 wale waliomfukuza,” 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 3:11(Mfalme Ogu wa Bashani ndiye peke yake aliyesalia miongoni mwa mabaki ya Warefai. Kitanda chake kilikuwa cha chuma chenye urefu wa dhiraa tisa + 3:11 Dhiraa tisa ni sawa na mita 4. na upana wa dhiraa nne. + 3:11 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8. Mpaka sasa kinaweza kuonekana katika mji wa Waamoni wa Raba.) 1 Mgawanyo Wa Nchi Mashariki Ya Yordani (Hesabu 32:1-42)
2 Samuel 11:1Katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati wafalme watokapo kwenda vitani, Daudi akamtuma Yoabu pamoja na watu wa mfalme na jeshi lote la Israeli. Wakawaangamiza Waamoni na kuuzunguka kwa jeshi mji wa Raba. Lakini Daudi akabaki Yerusalemu.
Psalms 48:11Mlima Sayuni unashangilia, 2 vijiji vya Yuda vinafurahi 2 kwa sababu ya hukumu zako. 1
Isaiah 11:14Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti 2 hadi upande wa magharibi, 1 kwa pamoja watawateka watu nyara 2 hadi upande wa mashariki. 1 Watawapiga Edomu na Moabu, 2 na Waamoni watatawaliwa nao. 1
Isaiah 14:2Mataifa watawachukua 2 na kuwaleta mahali pao wenyewe. 1 Nayo nyumba ya Israeli itamiliki mataifa 2 kama watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana. 1 Watawafanya watekaji wao kuwa mateka, 2 na kutawala juu ya wale waliowaonea.
Jeremiah 49:1Kuhusu Waamoni: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Je, Israeli hana wana? 2 Je, hana warithi? 1 Kwa nini basi Moleki amechukua milki ya Gadi? 2 Kwa nini watu wake wanaishi katika miji yake? 1