Ezekieli 23:39
Siku ile ile walitoa watoto wao kuwa kafara kwa sanamu zao, waliingia patakatifu pangu na kupatia unajisi. Hilo ndilo walilolifanya katika nyumba yangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Pia wamenifanyia hili: wakati huo huo wamenajisi patakatifu pangu na kuzitangua Sabato zangu.
Cross References
2 Kings 21:4Akajenga madhabahu katika Hekalu la Bwana, ambamo Bwana alikuwa amesema, “Katika Yerusalemu nitaliweka Jina langu.”
2 Chronicles 33:4Akajenga madhabahu katika Hekalu la Bwana ambamo Bwana alikuwa amesema, “Jina langu litadumu Yerusalemu milele.”
Jeremiah 7:8Lakini tazama, mnatumainia maneno ya udanganyifu yasiyo na maana.
Jeremiah 23:11“Nabii na kuhani wote si wacha Mungu; 2 hata hekaluni mwangu ninaona uovu wao,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 23:38Pia wamenifanyia hili: wakati huo huo wamenajisi patakatifu pangu na kuzitangua Sabato zangu.
Micah 3:11Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, 2 na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, 2 nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. 1 Hata hivyo wanamwegemea Bwana na kusema, 2 “Je, Bwana si yumo miongoni mwetu? 2 Hakuna maafa yatakayotupata.” 1