The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 32 › Ezekiel 32:21

Ezekiel 32:21

Kutoka kuzimu viongozi hodari watanena kuhusu Misri pamoja na wale walioungana nao, ‘Wameshuka chini, nao wamelala kimya pamoja na hao wasiotahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The strong among the mighty shall speak to him out of the midst of hell with them that help him: they are gone down, they lie uncircumcised, slain by the sword.

In Context

20Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa, mwache aburutwe mbali pamoja na hao wajeuri wake wote.

22“Ashuru yuko huko pamoja na jeshi lake lote, amezungukwa na makaburi ya watu wake wote waliouawa, wale wote walioanguka kwa upanga.

Read all of Ezekiel 32

Cross References

Psalms 9:17Waovu wataishia kuzimu, 2 naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu. 1

Proverbs 14:32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, 2 bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 1

Isaiah 14:9Kuzimu kote kumetaharuki 2 kukulaki unapokuja, 1 kunaamsha roho za waliokufa ili kukupokea, 2 wote waliokuwa viongozi katika ulimwengu, 1 kunawafanya wainuke kwenye viti vyao vya kifalme: 2 wale wote waliokuwa wafalme juu ya mataifa. 1

Ezekiel 32:19Je, ninyi mnamzidi nani kwa uzuri? Shukeni chini! Nanyi mkalazwe pamoja na hao wasiotahiriwa!

Ezekiel 32:27Je, hawakulala na mashujaa wengine wasiotahiriwa waliouawa, ambao wameshuka kaburini wakiwa na silaha zao za vita, ambao panga zao ziliwekwa chini ya vichwa vyao na uovu wao juu ya mifupa yao? Adhabu kwa ajili ya dhambi zao ilikuwa juu ya mifupa yao, ingawa vitisho vya mashujaa hawa vilikuwa vimeenea hadi kwenye nchi ya walio hai.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 32:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 32:20Ezekiel 32Ezekiel 32:22 →