The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 14 › Isaiah 14:9

Isaiah 14:9

Kuzimu kote kumetaharuki 2 kukulaki unapokuja, 1 kunaamsha roho za waliokufa ili kukupokea, 2 wote waliokuwa viongozi katika ulimwengu, 1 kunawafanya wainuke kwenye viti vyao vya kifalme: 2 wale wote waliokuwa wafalme juu ya mataifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hell from beneath is moved for thee to meet thee at thy coming: it stirreth up the dead for thee, even all the chief ones of the earth; it hath raised up from their thrones all the kings of the nations.

In Context

8Hata misunobari na mierezi ya Lebanoni 2 inashangilia mbele yako na kusema, 1 “Basi kwa sababu umeangushwa chini, 2 hakuna mkata miti atakayekuja kutukata.” 1

10Wote wataitikia, 2 watakuambia, 1 “Wewe pia umekuwa dhaifu, kama sisi tulivyo; 2 wewe umekuwa kama sisi.” 1

Read all of Isaiah 14

Cross References

Jeremiah 50:8“Kimbieni kutoka Babeli; 2 ondokeni katika nchi ya Wakaldayo 2 tena kuweni kama mbuzi wale waongozao kundi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 14:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 14:8Isaiah 14Isaiah 14:10 →