Ezekieli 35:13
Ulijigamba dhidi yangu na kusema maneno dhidi yangu bila kujizuia, nami nikayasikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Wakati dunia yote inashangilia nitakufanya ukiwa.
Cross References
Exodus 16:12“Nimesikia manungʼuniko ya Waisraeli. Waambie, ‘Jioni mtakula nyama, na asubuhi mtashiba mikate. Ndipo mtajua ya kwamba Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’ ”
Numbers 14:27“Jumuiya hii ovu itanungʼunika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonungʼunika.
2 Kings 19:28Kwa sababu unaghadhibika dhidi yangu, 2 na ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.’
2 Chronicles 32:19Wakanena juu ya Mungu wa Yerusalemu kama vile walivyonena juu ya miungu ya mataifa mengine ya dunia ambayo ni kazi ya mikono ya wanadamu.
Job 35:16Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; 2 anaongea maneno mengi bila maarifa.”
Psalms 74:18Ee Bwana, kumbuka jinsi mtesi alivyokudhihaki, 2 jinsi watu wapumbavu walivyolitukana jina lako. 1