Numbers 14:27
“Jumuiya hii ovu itanungʼunika dhidi yangu hadi lini? Nimesikia malalamiko ya hawa Waisraeli wanaonungʼunika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Bwana akamwambia Mose na Aroni:
28Hivyo waambie, ‘Hakika kama niishivyo, asema Bwana, nitawafanyia vitu vilevile nilivyosikia mkisema:
Cross References
Exodus 16:12“Nimesikia manungʼuniko ya Waisraeli. Waambie, ‘Jioni mtakula nyama, na asubuhi mtashiba mikate. Ndipo mtajua ya kwamba Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’ ”
Numbers 14:11Bwana akamwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Wataendelea kukataa kuniamini mimi mpaka lini, ingawa nimetenda ishara za miujiza miongoni mwao?
Matthew 17:7Lakini Yesu akaja na kuwagusa, akawaambia, “Inukeni na wala msiogope.”
1 Corinthians 10:10Msinungʼunike kama baadhi yao walivyofanya, wakaangamizwa na mharabu.