The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 39 › Ezekieli 39:19

Ezekieli 39:19

Katika dhabihu ninayoandaa kwa ajili yenu, mtakula mafuta mpaka mkinai na kunywa damu mpaka mlewe.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye shall eat fat till ye be full, and drink blood till ye be drunken, of my sacrifice which I have sacrificed for you.

In Context

18Mtakula nyama za watu mashujaa na kunywa damu za wakuu wa dunia kana kwamba ni za kondoo dume na kondoo wake, mbuzi na mafahali, wote walionona kutoka Bashani.

20Kwenye meza yangu watajishibisha kwa farasi na wapanda farasi, watu mashujaa na askari wa kila aina,’ asema Bwana Mwenyezi.

Read all of Ezekieli 39

Cross References

Isaiah 51:20Wana wako wamezimia, 2 wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, 2 kama swala aliyenaswa kwenye wavu. 1 Wamejazwa na ghadhabu ya Bwana 2 na makaripio ya Mungu wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 39:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 39:18Ezekieli 39Ezekieli 39:20 →