Isaya 51:20
Wana wako wamezimia, 2 wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara, 2 kama swala aliyenaswa kwenye wavu. 1 Wamejazwa na ghadhabu ya Bwana 2 na makaripio ya Mungu wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kwa hiyo sikiliza hili, wewe uliyeteswa, 2 uliyelewa, lakini si kwa mvinyo. 1
Cross References
Deuteronomy 14:5kulungu, paa, kongoni, paa mweupe, mbuzi-mwitu, pofu na kondoo wa mlimani.
Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Isaiah 9:19Kwa hasira ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 nchi itachomwa kwa moto, 1 nao watu watakuwa kuni za kuchochea moto. 2 Hakuna mtu atakayemhurumia ndugu yake. 1
Isaiah 40:30Hata vijana huchoka na kulegea, 2 nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, 1
Isaiah 51:17Amka, amka! 2 Simama, ee Yerusalemu, 1 wewe uliyekunywa kutoka mkono wa Bwana 2 kikombe cha ghadhabu yake, 1 wewe uliyekunywa mpaka kufikia machujo yake, 2 kikombe kile cha kunywea 2 kiwafanyacho watu kuyumbayumba. 1
Jeremiah 14:16Nao watu hao wanaowatabiria watatupwa nje katika barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga. Hapatakuwepo yeyote wa kuwazika wao au wake zao, wana wao au binti zao. Nitawamwagia maafa wanayostahili.