The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 39 › Ezekieli 39:6

Ezekieli 39:6

Nitatuma moto juu ya Magogu na kwa wale wanaoishi kwa salama huko pwani, nao watajua kwamba Mimi ndimi Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will send a fire on Magog, and among them that dwell carelessly in the isles: and they shall know that I am the LORD.

In Context

5Utaanguka katika uwanja, kwa kuwa nimenena, asema Bwana Mwenyezi.

7“ ‘Nitalifanya Jina langu takatifu lijulikane miongoni mwa watu wangu Israeli. Sitaliacha tena Jina langu takatifu litiwe unajisi, nayo mataifa watajua kuwa Mimi Bwana ndimi Aliye Mtakatifu wa Israeli.

Read all of Ezekieli 39

Cross References

Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1

Jeremiah 25:22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari;

Ezekiel 30:16Nitaitia moto nchi ya Misri; 2 Pelusiumu itagaagaa kwa maumivu makuu. 1 Thebesi itachukuliwa na tufani, 2 Memfisi itakuwa katika taabu daima. 1

Ezekiel 38:11Utasema, “Nitapigana vita na nchi ambayo vijiji vyake havina maboma. Nitawashambulia watu wanaoishi kwa amani na wasiotarajia vita: wote wanaishi bila maboma na bila malango na makomeo.

Ezekiel 38:19Katika wivu wangu na ghadhabu yangu kali ninasema kuwa wakati ule patakuwepo tetemeko kuu katika nchi ya Israeli.

Amos 1:7nitatuma moto juu ya kuta za Gaza 2 ambao utateketeza ngome zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 39:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 39:5Ezekieli 39Ezekieli 39:7 →