Ezra 1:2
“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 8:27“Lakini kweli, je, Mungu atafanya makao duniani? Mbingu, hata mbingu zilizo juu sana, haziwezi kukutosha wewe. Sembuse Hekalu hili nililojenga!
Ezra 5:15naye akamwambia, ‘Chukua vyombo hivi uende ukaviweke ndani ya Hekalu huko Yerusalemu. Nawe uijenge upya nyumba ya Mungu mahali pake.’
Ezra 6:10ili waweze kutoa dhabihu inayompendeza Mungu wa mbinguni na kumwombea mfalme na wanawe hali njema.
Nehemiah 1:4Niliposikia mambo haya, niliketi, nikalia. Kwa siku kadhaa niliomboleza na kufunga na kuomba mbele za Mungu wa mbinguni.
Psalms 85:2Ulisamehe uovu wa watu wako, 2 na kufunika dhambi zao zote. 1
Isaiah 41:2“Ni nani aliyemchochea mmoja kutoka mashariki, 2 akimwita katika haki kwa utumishi wake? 1 Huyatia mataifa mikononi mwake, 2 na kuwatiisha wafalme mbele zake. 1 Huwafanya kuwa mavumbi kwa upanga wake, 2 huwafanya makapi yapeperushwayo na upepo kwa upinde wake. 1