Isaiah 41:2
“Ni nani aliyemchochea mmoja kutoka mashariki, 2 akimwita katika haki kwa utumishi wake? 1 Huyatia mataifa mikononi mwake, 2 na kuwatiisha wafalme mbele zake. 1 Huwafanya kuwa mavumbi kwa upanga wake, 2 huwafanya makapi yapeperushwayo na upepo kwa upinde wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Huwafuatia na kuendelea salama, 2 katika njia ambayo miguu yake haijawahi kupita. 1
Cross References
Genesis 11:31Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mwana wa Harani mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka kwa pamoja katika Uru ya Wakaldayo kwenda nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakaishi huko.
Genesis 14:14Abramu alipopata habari kwamba jamaa yake amechukuliwa mateka, akawaita watu 318 wa nyumbani mwake waliokuwa wamefunzwa kupigana vita, wakawafuatilia hadi Dani.
2 Samuel 22:43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; 2 niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani. 1
2 Chronicles 36:23“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda. Yeyote wa watu wake miongoni mwenu, Mungu wake na awe pamoja naye, wacha huyo mtu na apande.’ ”
Isaiah 40:24Mara baada ya kupandwa, 2 mara baada ya kutiwa ardhini, 2 mara baada ya kutoa mizizi yao ardhini, 1 ndipo huwapulizia nao wakanyauka, 2 nao upepo wa kisulisuli 2 huwapeperusha kama makapi. 1
Isaiah 41:25“Nimemchochea mtu mmoja kutoka kaskazini, 2 naye yuaja, mmoja toka mawio ya jua aliitaye Jina langu. 1 Huwakanyaga watawala kana kwamba ni matope, 2 kama mfinyanzi akanyagavyo udongo wa kufinyangia. 1