Ezra 1:5
Kisha viongozi wa jamaa ya Yuda na Benyamini na makuhani na Walawi kila mmoja ambaye moyo wake ulisukumwa na Mungu, akajiandaa kupanda ili kuijenga nyumba ya Bwana huko Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 1:1Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi, ili kulitimiza neno la Bwana lililosemwa na nabii Yeremia, Bwana aliusukuma moyo wa Koreshi mfalme wa Uajemi kutangaza katika himaya yake yote kwa maandishi:
Proverbs 16:1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
2 Corinthians 8:16Ninamshukuru Mungu ambaye amemtia Tito moyo wa kuwajali ninyi kama mimi ninavyowajali.
James 1:16Ndugu zangu wapendwa, msidanganyike.