Proverbs 16:1
Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, 2 bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The preparations of the heart in man, and the answer of the tongue, is from the LORD.
In Context
2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, 2 bali makusudi hupimwa na Bwana. 1
Cross References
Exodus 4:11Bwana akamwambia, “Ni nani aliyempa mwanadamu kinywa? Ni nani aliyemfanya mtu kuwa kiziwi au bubu? Ni nani anayempa mtu kuona au upofu? Je, si mimi, Bwana?
2 Samuel 7:5“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake?
Ezra 7:27Sifa ziwe kwa Bwana, Mungu wa baba zetu, Mungu ambaye kwa njia hii ameweka ndani ya moyo wa mfalme kuipa heshima nyumba ya Bwana iliyoko Yerusalemu, kwa namna hii
Job 17:11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, 2 vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 1
Psalms 119:36Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako, 2 na siyo kwenye mambo ya ubinafsi. 1
Proverbs 19:21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, 2 lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 1