Ezra 10:2
Kisha Shekania mwana wa Yehieli, mmoja wa wazao wa Elamu, akamwambia Ezra, “Tumekosa uaminifu kwa Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni kutoka mataifa yanayotuzunguka. Lakini pamoja na hili, bado liko tumaini kwa ajili ya Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 34:12Uwe mwangalifu, usifanye agano na wale wanaokaa katika nchi ile unayoiendea, la sivyo watakuwa mtego katikati yako.
Ezra 2:31wazao wa Elamu ile ingine 2 1,254 1
Ezra 9:1Baada ya mambo haya kutendeka, viongozi walinijia na kusema, “Watu wa Israeli, wakiwemo makuhani na Walawi, hawakujitenga na majirani zao katika kufanya machukizo, kama yale ya Wakanaani, Wahiti, Waperizi, Wayebusi, Waamoni, Wamoabu, Wamisri na Waamori.
Ezra 10:26Kutoka wazao wa Elamu: 2 Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Eliya. 1
Nehemiah 7:12wazao wa Elamu 2 1,254 1
Nehemiah 13:27Je, tulazimike sasa kusikia kwamba ninyi pia mmefanya uovu huu mkubwa na kutokuwa waaminifu kwa Mungu wetu kwa kuoa wanawake wa kigeni?”