Ezra 10:44
Hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni, na baadhi yao walikuwa wamezaa nao watoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All these had taken strange wives: and some of them had wives by whom they had children.
In Context
43Kutoka wazao wa Nebo: 2 Yeieli, Matithia, Zabadi, Zebina, Yadai, Yoeli na Benaya.
Cross References
Ezra 10:3Sasa na tufanye agano mbele za Mungu wetu kuwafukuza hawa wanawake wote pamoja na watoto wao, kulingana na maonyo ya bwana wangu pamoja na wale ambao wanaogopa amri za Mungu wetu. Hili na lifanyike sawasawa na hii Sheria.
Proverbs 5:3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba 2 hudondoza asali, 1 na maneno ya kinywa chake 2 ni laini kuliko mafuta; 1