Proverbs 5:3
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba 2 hudondoza asali, 1 na maneno ya kinywa chake 2 ni laini kuliko mafuta; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the lips of a strange woman drop as an honeycomb, and her mouth is smoother than oil:
In Context
2ili uweze kutunza busara 2 na midomo yako ihifadhi maarifa. 1
4lakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo, 2 mkali kama upanga ukatao kuwili. 1
Cross References
Proverbs 2:16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, 2 kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno 2 ya kushawishi kutenda ubaya, 1
Proverbs 7:5watakuepusha na mwanamke mzinzi, 2 kutokana na mwanamke mpotovu 2 na maneno yake ya kubembeleza. 1
Proverbs 22:14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; 2 yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana 2 atatumbukia ndani yake. 1
Revelation 17:2Yule ambaye wafalme wa dunia walizini naye na watu wakaao duniani walilewa kwa mvinyo wa uzinzi wake.”