Ezra 2:28
watu wa Betheli na Ai 2 223 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The men of Bethel and Ai, two hundred twenty and three.
In Context
Cross References
Joshua 7:2Basi Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko waende Ai, karibu na Beth-Aveni mashariki ya Betheli, akawaambia, “Pandeni mkaipeleleze nchi.” Basi wale watu wakapanda wakaipeleleza Ai.
Joshua 8:17Hakuna hata mwanaume mmoja aliyebakia Ai wala Betheli ambaye hakufuatia Israeli. Wakauacha mji wazi na kuwafuatia Israeli.
Zechariah 7:2Watu wa Betheli walikuwa wamemtuma Shareza na Regem-Meleki pamoja na watu wao, kumsihi Bwana