Yoshua 7:2
Basi Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko waende Ai, karibu na Beth-Aveni mashariki ya Betheli, akawaambia, “Pandeni mkaipeleleze nchi.” Basi wale watu wakapanda wakaipeleleza Ai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 28:19Mahali pale akapaita Betheli, + 28:19 Betheli maana yake Nyumba ya Mungu. ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.
Joshua 12:9mfalme wa Yeriko 2 mmoja 1 mfalme wa Ai (karibu na Betheli) 2 mmoja 1
1 Samuel 13:5Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Israeli, wakiwa na magari ya vita 3,000, waendesha magari ya vita 6,000 na askari wa miguu wengi kama mchanga wa ufuoni mwa bahari. Walipanda na kupiga kambi huko Mikmashi, mashariki ya Beth-Aveni.
1 Kings 12:29Ndama mmoja akamweka Betheli na mwingine Dani.
Proverbs 20:18Fanya mipango kwa kutafuta mashauri, 2 ukipigana vita, tafuta maelekezo. 1
Isaiah 10:28Wanaingia Ayathi, 2 wanapita katikati ya Migroni, 2 wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi. 1