Ezra 2:42
Mabawabu wa lango la Hekalu: 1 wazao wa // Shalumu, Ateri, Talmoni, // Akubu, Hatita na Shobai 2 139 4
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Waimbaji: 1 wazao wa Asafu 2 128 4
43Watumishi wa Hekalu: + 2:43 Yaani Wanethini (pia 2:58, 70 ). 1 wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, 1
Cross References
1 Chronicles 9:17Mabawabu katika Hekalu la Bwana waliorudi walikuwa: 2 Shalumu, Akubu, Talmoni, Ahimani na ndugu zao. Shalumu alikuwa mlinzi wao mkuu.
1 Chronicles 26:26Shelomithi na jamaa zake walikuwa waangalizi wa hazina zote za vitu vile vilivyowekwa wakfu na Mfalme Daudi, kwa viongozi wa jamaa waliokuwa majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, na kwa maafisa wengine wa jeshi.