The Bible Software
bible.softwareEzraEzra 2 › Ezra 2:43

Ezra 2:43

Watumishi wa Hekalu: + 2:43 Yaani Wanethini (pia 2:58, 70 ). 1 wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Nethinims: the children of Ziha, the children of Hasupha, the children of Tabbaoth,

In Context

42Mabawabu wa lango la Hekalu: 1 wazao wa // Shalumu, Ateri, Talmoni, // Akubu, Hatita na Shobai 2 139 4

44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni, 1

Read all of Ezra 2

Cross References

Numbers 3:9Wakabidhi Walawi kwa Aroni na wanawe; hao ndio Waisraeli ambao wanakabidhiwa kwake kabisa.

Ezra 2:58Watumishi wa Hekalu wote na // wazao wa watumishi // wa Solomoni 2 392 4

Ezra 8:17nikawatuma kwa Ido kiongozi huko Kasifia. Niliwaambia watakayomwambia Ido na ndugu zake, watumishi wa Hekalu + 8:17 Yaani Wanethini (pia 8:20). huko Kasifia, ili waweze kutuletea wahudumu kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.

Nehemiah 3:26na watumishi wa Hekalu walioishi juu ya kilima cha Ofeli walikarabati hadi kufikia mkabala na Lango la Maji, kuelekea mashariki na ule mnara uliojitokeza.

Nehemiah 10:28“Watu wengine wote, wakiwa ni makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji, watumishi wa Hekalu, + 10:28 Yaani Wanethini . na wale wote waliojitenga na mataifa jirani kwa ajili ya Sheria ya Mungu, pamoja na wake zao na wana wao na binti zao wote waliokuwa na uwezo wa kufahamu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezra 2:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezra 2:42Ezra 2Ezra 2:44 →