The Bible Software
bible.softwareEzraEzra 2 › Ezra 2:69

Ezra 2:69

Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 + 2:69 Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500. za dhahabu, mane 5,000 + 2:69 Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900. za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They gave after their ability unto the treasure of the work threescore and one thousand drams of gold, and five thousand pound of silver, and one hundred priests garments.

In Context

68Walipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake.

70Makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.

Read all of Ezra 2

Cross References

1 Chronicles 22:14“Nimejitaabisha sana ili kupata mahitaji kwa ajili ya Hekalu la Bwana: talanta 100,000 + 22:14 Talanta 100,000 za dhahabu ni sawa na tani 3,750. za dhahabu, talanta 1,000,000 + 22:14 Talanta 1,000,000 za fedha ni sawa na tani 37,500. za fedha na kiasi kisichopimika cha shaba na chuma, pia mbao na mawe. Nawe waweza kuviongeza.

1 Chronicles 29:7Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 + 29:7 Talanta 5,000 za dhahabu ni sawa na tani 190. na darkoni 10,000 + 29:7 Darkoni 10,000 za dhahabu ni sawa na kilo 84. za dhahabu, talanta 10,000 + 29:7 Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 375. za fedha, talanta 18,000 + 29:7 Talanta 18,000 za shaba ni sawa na tani 675. za shaba na talanta 100,000 + 29:7 Talanta 100,000 za chuma ni sawa na tani 3,750. za chuma.

Nehemiah 7:71Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu, + 7:71 Darkoni 20,000 za dhahabu ni sawa na kilo 172. na mane 2,200 + 7:71 Mane 2,200 za fedha ni sawa na kilo 1,300. za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezra 2:69

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezra 2:68Ezra 2Ezra 2:70 →