1 Nyakati 29:7
Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 + 29:7 Talanta 5,000 za dhahabu ni sawa na tani 190. na darkoni 10,000 + 29:7 Darkoni 10,000 za dhahabu ni sawa na kilo 84. za dhahabu, talanta 10,000 + 29:7 Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 375. za fedha, talanta 18,000 + 29:7 Talanta 18,000 za shaba ni sawa na tani 675. za shaba na talanta 100,000 + 29:7 Talanta 100,000 za chuma ni sawa na tani 3,750. za chuma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 2:69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000 + 2:69 Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500. za dhahabu, mane 5,000 + 2:69 Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900. za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.