bible.software › Ezra › Ezra 4 › Ezra 4:8
Ezra 4:8
Rehumu afisa msimamizi na mwandishi Shimshai waliandika barua kwa Mfalme Artashasta dhidi ya watu wa Yerusalemu kama ifuatavyo:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Rehum the chancellor and Shimshai the scribe wrote a letter against Jerusalem to Artaxerxes the king in this sort:
In Context
7Pia katika siku za utawala wa Artashasta mfalme wa Uajemi, Bishlamu, Mithredathi, Tabeeli pamoja na wenzao waliandika barua kwa Artashasta. Barua hiyo iliandikwa kwa mwandiko wa Kiaramu na katika lugha ya Kiaramu.
9Rehumu afisa msimamizi na mwandishi Shimshai, pamoja na wenzao, yaani mahakimu na maafisa walio juu ya watu kuanzia Tripoli, Uajemi, Ereki na Babeli, Waelami wa Shushani,
Read all of Ezra 4
Cross References
2 Samuel 20:25Sheva + 20:25 Sheva mahali pengine ameitwa Shausha ( 1Nya 18:16; 1Fal 4:3 ). alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;
Ezra 4:9Rehumu afisa msimamizi na mwandishi Shimshai, pamoja na wenzao, yaani mahakimu na maafisa walio juu ya watu kuanzia Tripoli, Uajemi, Ereki na Babeli, Waelami wa Shushani,
This Verse In Other Editions
Study Ezra 4:8