Ezra 6:4
kuta zijengwe kwa safu tatu za mawe makubwa kisha ifuate safu moja ya mbao. Gharama zitalipwa kutoka hazina ya mfalme.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 3:7Kisha watu wakawapa mafundi wa uashi na useremala fedha, wakawapa watu wa Sidoni na Tiro vyakula, vinywaji na mafuta ili waweze kuleta magogo ya mierezi kwa njia ya bahari kutoka Lebanoni hadi Yafa, kama alivyoagiza Koreshi mfalme wa Uajemi.
Ezra 7:20Kitu kingine chochote kinachohitajika kwa ajili ya Hekalu la Mungu wenu ambacho unatakiwa kukitoa, waweza kukitoa kutoka hazina ya mfalme.
Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1
Isaiah 60:6Makundi ya ngamia yatajaa katika nchi yako, 2 ngamia vijana wa Midiani na Efa. 1 Nao wote watokao Sheba watakuja, 2 wakichukua dhahabu na uvumba 2 na kutangaza sifa za Bwana. 1