The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 60 › Isaiah 60:6

Isaiah 60:6

Makundi ya ngamia yatajaa katika nchi yako, 2 ngamia vijana wa Midiani na Efa. 1 Nao wote watokao Sheba watakuja, 2 wakichukua dhahabu na uvumba 2 na kutangaza sifa za Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The multitude of camels shall cover thee, the dromedaries of Midian and Ephah; all they from Sheba shall come: they shall bring gold and incense; and they shall shew forth the praises of the LORD.

In Context

5Ndipo utatazama na kutiwa nuru, 2 moyo wako utasisimka na kujaa furaha, 1 mali zilizo baharini zitaletwa kwako, 2 utajiri wa mataifa utakujilia. 1

7Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako, 2 kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia, 1 watakubalika kama sadaka juu ya madhabahu yangu, 2 nami nitalipamba Hekalu langu tukufu. 1

Read all of Isaiah 60

Cross References

Genesis 25:3Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi.

Genesis 25:13Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, yaliyoorodheshwa kulingana na jinsi walivyozaliwa: Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni Nebayothi, akafuatia Kedari, Adbeeli, Mibsamu,

Judges 6:5Walipanda na mifugo yao na mahema yao, mfano wa makundi ya nzige. Ilikuwa haiwezekani kuwahesabu watu na ngamia zao; wakavamia nchi ili kuiharibu.

1 Kings 10:2Alifika Yerusalemu akiwa na msafara mkubwa sana: pamoja na ngamia waliobeba vikolezi, kiasi kikubwa cha dhahabu na vito vya thamani; alikuja kwa Solomoni na kuzungumza naye kuhusu yote ambayo alikuwa nayo moyoni mwake.

1 Chronicles 1:33Wana wa Midiani walikuwa: 2 Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. 1 Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura. 2 Wazao Wa Sara 1

Psalms 67:4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, 2 kwa kuwa unatawala watu kwa haki 2 na kuongoza mataifa ya dunia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 60:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 60:5Isaiah 60Isaiah 60:7 →