Ezra 6:6
Sasa basi, Tatenai, mtawala wa Ngʼambo ya Mto Frati na Shethar-Bozenai pamoja na ninyi, maafisa wenzao wa jimbo hilo kaeni mbali na mahali hapo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
Ezra 5:3Wakati ule Tatenai mtawala wa ngʼambo ya mto Frati na Shethar-Bozenai na wenzao waliwaendea, wakawauliza, “Ni nani aliyewapa ruhusa ya kujenga tena Hekalu hili na kurudishia upya kama lilivyokuwa?”
Nehemiah 1:11Ee Bwana, tega sikio lako na usikie maombi ya huyu mtumishi wako, na maombi ya watumishi wako wanaofurahia kuliheshimu Jina lako. Nipe leo, mimi mtumishi wako, mafanikio kwa kunipa kibali mbele ya mtu huyu.” Kwa maana nilikuwa mnyweshaji wa mfalme.
Proverbs 21:1Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Bwana; 2 huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. 1
Isaiah 27:8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1
Romans 8:31Tuseme nini basi kuhusu haya? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani awezaye kuwa kinyume chetu?