The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 27 › Isaiah 27:8

Isaiah 27:8

Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In measure, when it shooteth forth, thou wilt debate with it: he stayeth his rough wind in the day of the east wind.

In Context

7Je, Bwana amempiga 2 vile alivyowapiga wale waliompiga? 1 Je, yeye ameuawa 2 vile walivyouawa wale waliomuua yeye? 1

9Kwa hili, basi, hatia ya Yakobo itafanyiwa upatanisho, 2 nalo hili litakuwa matunda ya utimilizo wa kuondolewa kwa dhambi yake: 1 Wakati atakapoyafanya mawe yote ya madhabahu 2 kuwa kama mawe ya chokaa yaliyopondwa vipande vipande, 1 hakuna nguzo za Ashera au madhabahu za kufukizia uvumba 2 zitakazobaki zimesimama. 1

Read all of Isaiah 27

Cross References

Job 23:6Je, angenipinga kwa nguvu nyingi? 2 La, asingenigandamiza. 1

Psalms 38:1Ee Bwana, usinikemee katika hasira yako, 2 wala kuniadhibu katika ghadhabu yako. 1

Psalms 78:38Hata hivyo alikuwa na huruma, 2 alisamehe maovu yao 2 na hakuwaangamiza. 1 Mara kwa mara alizuia hasira yake, 2 wala hakuchochea ghadhabu yake yote. 1

Psalms 103:14kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, 2 anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi. 1

Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1

Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 27:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 27:7Isaiah 27Isaiah 27:9 →