bible.software › Ezra › Ezra 7 › Ezra 7:22
Ezra 7:22
talanta 100 + 7:22 Talanta 100 za fedha ni sawa na kilo 3,400. za fedha, ngano kori 100, + 7:22 Kori 100 za ngano ni sawa na kilo 10,000. divai bathi 100, + 7:22 Bathi 100 za divai ni sawa na lita 2,000. mafuta ya zeituni bathi 100, na chumvi kiasi chochote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Unto an hundred talents of silver, and to an hundred measures of wheat, and to an hundred baths of wine, and to an hundred baths of oil, and salt without prescribing how much.
In Context
21Mimi, Mfalme Artashasta, sasa naagiza watunza hazina wote wa Ngʼambo ya Mto Frati kutoa kwa bidii chochote kwa Ezra kuhani na mwalimu wa Sheria ya Mungu wa mbinguni atakachohitaji kwenu,
23Chochote ambacho Mungu wa mbinguni ameagiza, kifanyike kwa ukamilifu kwa ajili ya Hekalu la Mungu wa mbinguni. Kwa nini pawepo ghadhabu dhidi ya utawala wa mfalme na wanawe?
Read all of Ezra 7
Cross References
Ezekiel 45:14Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja + 45:14 Kori 1 ni sawa na bathi 10 au homeri 1. (ambayo ina bathi kumi au homeri moja.)
This Verse In Other Editions
Study Ezra 7:22