bible.software › Ezra › Ezra 7 › Ezra 7:23
Ezra 7:23
Chochote ambacho Mungu wa mbinguni ameagiza, kifanyike kwa ukamilifu kwa ajili ya Hekalu la Mungu wa mbinguni. Kwa nini pawepo ghadhabu dhidi ya utawala wa mfalme na wanawe?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whatsoever is commanded by the God of heaven, let it be diligently done for the house of the God of heaven: for why should there be wrath against the realm of the king and his sons?
In Context
22talanta 100 + 7:22 Talanta 100 za fedha ni sawa na kilo 3,400. za fedha, ngano kori 100, + 7:22 Kori 100 za ngano ni sawa na kilo 10,000. divai bathi 100, + 7:22 Bathi 100 za divai ni sawa na lita 2,000. mafuta ya zeituni bathi 100, na chumvi kiasi chochote.
24Pia ninyi fahamuni kuwa hamna mamlaka ya kuwatoza kodi, ushuru au ada makuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, watumishi wa Hekalu au wafanyakazi wengine kwenye nyumba ya Mungu.
Read all of Ezra 7
Cross References
Exodus 5:3Ndipo Mose na Aroni wakasema, “Mungu wa Waebrania amekutana nasi. Sasa turuhusu tuwe na safari ya siku tatu ya jangwani ili tukamtolee Bwana Mungu wetu dhabihu, la sivyo aweza kutupiga sisi kwa tauni au kwa upanga.”
Ezra 7:13Sasa naamuru kwamba mtu yeyote Mwisraeli katika ufalme wangu, pamoja na makuhani na Walawi, ambaye anataka kwenda Yerusalemu pamoja nawe aweza kwenda.
Psalms 119:4Umetoa maagizo yako 2 ili tuyatii kwa ukamilifu. 1
This Verse In Other Editions
Study Ezra 7:23