bible.software › Ezra › Ezra 8 › Ezra 8:26
Ezra 8:26
Niliwapimia talanta 650 + 8:26 Talanta 650 za fedha ni sawa na tani 25. za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, + 8:26 Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.75. talanta mia moja za dhahabu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I even weighed unto their hand six hundred and fifty talents of silver, and silver vessels an hundred talents, and of gold an hundred talents;
In Context
25nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Israeli wote waliokuwepo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
27mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja, + 8:27 Darkoni 1,000 ni sawa na kilo 8.5. na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu.
Read all of Ezra 8
Cross References
Ezra 1:9Hii ilikuwa ndio orodha ya vifaa: 1 masinia ya dhahabu yalikuwa 2 30 1 masinia ya fedha yalikuwa 2 1,000 1 vyetezo vya fedha vilikuwa 2 29 1
This Verse In Other Editions
Study Ezra 8:26