bible.software › Ezra › Ezra 8 › Ezra 8:27
Ezra 8:27
mabakuli ishirini ya dhahabu ya thamani ya darkoni elfu moja, + 8:27 Darkoni 1,000 ni sawa na kilo 8.5. na vyombo viwili vya shaba iliyosuguliwa, ya thamani kama dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Also twenty basons of gold, of a thousand drams; and two vessels of fine copper, precious as gold.
In Context
26Niliwapimia talanta 650 + 8:26 Talanta 650 za fedha ni sawa na tani 25. za fedha, vifaa vingine vya fedha vya uzito wa talanta mia moja, + 8:26 Talanta 100 za fedha ni sawa na tani 3.75. talanta mia moja za dhahabu,
28Niliwaambia, “Ninyi pamoja na vyombo hivi ni wakfu kwa Bwana. Fedha na dhahabu ni sadaka ya hiari kwa Bwana, Mungu wa baba zenu.
Read all of Ezra 8
This Verse In Other Editions
Study Ezra 8:27