bible.software › Ezra › Ezra 8 › Ezra 8:32
Ezra 8:32
Kwa hiyo tuliwasili Yerusalemu ambapo tulipumzika kwa siku tatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And we came to Jerusalem, and abode there three days.
In Context
31Tulianza safari kutoka Mto Ahava kwenda Yerusalemu kwenye siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza. Mkono wa Mungu wetu ulikuwa juu yetu, naye njiani alitulinda dhidi ya adui na wanyangʼanyi.
33Katika siku ya nne, ndani ya nyumba ya Mungu wetu, tulipima fedha, dhahabu na vyombo vilivyowekwa wakfu, tukakabidhi mikononi mwa kuhani Meremothi mwana wa Uria. Eleazari mwana wa Finehasi alikuwa pamoja naye, pia walikuwako Walawi wawili, Yozabadi mwana wa Yeshua na Noadia mwana wa Binui.
Read all of Ezra 8
Cross References
Ezra 7:8Ezra aliwasili Yerusalemu mwezi wa tano wa mwaka wa saba wa utawala wa Mfalme Artashasta.
Nehemiah 2:11Nilienda Yerusalemu, na baada ya kukaa huko siku tatu,
This Verse In Other Editions
Study Ezra 8:32