Ezra 8:33
Katika siku ya nne, ndani ya nyumba ya Mungu wetu, tulipima fedha, dhahabu na vyombo vilivyowekwa wakfu, tukakabidhi mikononi mwa kuhani Meremothi mwana wa Uria. Eleazari mwana wa Finehasi alikuwa pamoja naye, pia walikuwako Walawi wawili, Yozabadi mwana wa Yeshua na Noadia mwana wa Binui.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Kwa hiyo tuliwasili Yerusalemu ambapo tulipumzika kwa siku tatu.
34Kila kitu kilihesabiwa kwa idadi na kupimwa kwa uzito, nao uzito wote uliandikwa wakati ule.
Cross References
Ezra 2:40Walawi: 1 wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia) 2 74 4
Ezra 8:30Ndipo makuhani na Walawi wakapokea fedha, dhahabu na vyombo vilivyowekwa wakfu ambavyo vilipimwa na kupelekwa katika nyumba ya Mungu wetu mjini Yerusalemu.
Nehemiah 3:4Meremothi mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, alikarabati sehemu iliyofuatia. Baada yake Meshulamu mwana wa Berekia, mwana wa Meshezabeli, alifanya ukarabati na aliyemfuatia ni Sadoki mwana wa Baana.
Nehemiah 3:24Baada yake, Binui mwana wa Henadadi alikarabati sehemu nyingine, kuanzia kwenye nyumba ya Azaria mpaka kwenye pembe ya ukuta.
Nehemiah 10:5Harimu, Meremothi, Obadia, 1
Nehemiah 10:10na wenzao: Shebania, 1 Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, 1