Ezra 8:4
wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume 200 pamoja naye; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the sons of Pahath-moab; Elihoenai the son of Zerahiah, and with him two hundred males.
In Context
5wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume 300 pamoja naye; 1
Cross References
Ezra 10:30Kutoka wazao wa Pahath-Moabu: 2 Adna, Kelali, Benaya, Maaseya, Matania, Bezaleli, Binui na Manase. 1
Nehemiah 10:14Viongozi wa watu: 1 Paroshi, Pahath-Moabu, Elamu, Zatu, Bani, 1