Ezra 8:5
wa wazao wa Zatu, alikuwa Shekania mwana wa Yahazieli na wanaume 300 pamoja naye; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the sons of Shechaniah; the son of Jahaziel, and with him three hundred males.
In Context
4wa wazao wa Pahath-Moabu, alikuwa Eliehoenai mwana wa Zerahia na wanaume 200 pamoja naye; 1
6wa wazao wa Adini, alikuwa Ebedi mwana wa Yonathani na wanaume 50 pamoja naye; 1