Galatians 3:21
Je basi, sheria inapingana na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa maana kama sheria iliyotolewa ingeweza kuwapa watu uzima, basi haki ingepatikana kwa njia ya sheria.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Basi mpatanishi huhusisha zaidi ya upande mmoja, lakini Mungu ni mmoja.
Cross References
Matthew 5:17“Msidhani kwamba nimekuja kufuta Sheria au Manabii; sikuja kuondoa bali kutimiza.
Romans 3:6La hasha! Kama hivyo ndivyo ilivyo, Mungu angehukumuje ulimwengu?
Romans 3:31Je, basi ni kwamba tunaibatilisha sheria kwa imani hii? La, hasha! Badala yake tunaithibitisha sheria.
Romans 9:31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.
Galatians 2:17“Lakini tukitafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, inakuwa dhahiri kwamba sisi ni wenye dhambi. Je, ina maana kwamba Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? La hasha!
Galatians 2:21Siibatilishi neema ya Mungu, kwa maana kama haki ingeweza kupatikana kwa njia ya sheria, basi Kristo alikufa bure!”